Umbea nouma..

Umbea nouma..

Malcolm X5

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
1,639
Reaction score
2,752
Mama mpenda UMBEA alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini?

Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi, kuna vita? !
 
Mbarika hiyo story ya kishetani?,unaonekana we pia mbea
 
Wana jf wooote n wa mbeya isipokuwa mm japo nipo nmkoa wa mbeya
 
Back
Top Bottom