Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
huu umbeya ngoja nishuke chini huu wa moto moto nikakazie swaumuSnap chart kumekucha yule the boss lady Zari. Wa dimond amepost katika uwanja qake wa snap chart kuwa asifananishwe na warembo wengine amabo hawajawahi kwenda labour hata siku moja
"Msinifananishe na virembo malaya vyenu amabavyo havijawahi kwenda labour hata siku moja nina miaka 35 na watoto 4 lkn bado m mrembo ninaita " mwisho wa nukuuu
Snap chart kumekucha yule the boss lady Zari. Wa dimond amepost katika uwanja qake wa snap chart kuwa asifananishwe na warembo wengine amabo hawajawahi kwenda labour hata siku moja
"Msinifananishe na virembo malaya vyenu amabavyo havijawahi kwenda labour hata siku moja nina miaka 35 na watoto 4 lkn bado m mrembo ninaita " mwisho wa nukuuu
Ungeandika kwa Kingereza kama alivyoandika kisha ndo utafsiri!
hii picha ya juzi mkuu huyu mwanamama ni mzuri sana na uzuri wa huyu sababu ni chotara kwa ushauri wangu wema Sepetu asihangaike na Zari maana hamuwezi huyu Zari ni mzuri sana halafu kila akizaa uzuri unaongezekaHapo alikuwa na umri gani? Kwenye hiyo picha
Mm namkubali sana ni mzuri sana, uchotara wake unambeba, wema hawezi kumfikia hata kwa nuktahii picha ya juzi mkuu huyu mwanamama ni mzuri sana na uzuri wa huyu sababu ni chotara kwa ushauri wangu wema Sepetu asihangaike na Zari maana hamuwezi huyu Zari ni mzuri sana halafu kila akizaa uzuri unaongezeka
mama ubaya anahangaika sana kwa huyu dada hadi namuonea huruma na umri nao unamkimbia na ndio Tz yote wameshamuona kitumbua chake hana pa kushika sasaMm namkubali sana ni mzuri sana, uchotara wake unambeba, wema hawezi kumfikia hata kwa nukta
hii picha ya juzi mkuu huyu mwanamama ni mzuri sana na uzuri wa huyu sababu ni chotara kwa ushauri wangu wema Sepetu asihangaike na Zari maana hamuwezi huyu Zari ni mzuri sana halafu kila akizaa uzuri unaongezeka
hapana buana tukubari hata km editing bado Wema hamfikii Zari.Linganisha mdada aliyezaa watoto 4 na Zarihuyo Zari.i wakawaida Sana sema editing zinambeba sana