Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

NASHANGAA sana wanamtetea huyu utamu wa taifaNani alimtuma?! asimchokonoe mungu hakutumwa achokoroe mimba[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji36] [emoji16]
 
Nayeye asitake ku-generalize, kama Diamond kamwambia yeye ni mrembo asidhani wote tunamuona hivyo
Aku kwa wengine akizaa watoto wa2 tuu kachuja mie namuona mrembo
 
Aku kwa wengine akizaa watoto wa2 tuu kachuja mie namuona mrembo
Hata mimi mke wangu ana watoto watatu, lakini namuona Mrembo bado, lakini siyo kwasababu mimi namuona mrembo bado ndo aende hadharani kujisifu kwamba yeye ni mrembo huwenda kuna watu wanamuona yupo chini ya wastani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…