Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

What does Zari actually do? I am still wondering. She started out on a cowboy show. But who is she?
 

Huu ni upagani uliovuka kiwango cha ushetani. Huyu mtu anatakiwa kupewe fundisho ili ajue Yuko Mungu Anayemiliki Mbinguni na kutawala duniani.

Kutokkuwa na Mungu kwake hakumpi uwezo wowote wa kujiweka juu ya Mungu. Anahitaji kufundishwa kwa nguvu iliyojuu ya uwezo wa binadamu ili awe mfano hai na fundisho kwa wapumbavu kama yeye.
 
Nayeye asitake ku-generalize, kama Diamond kamwambia yeye ni mrembo asidhani wote tunamuona hivyo
Tuache hasira jmn ukweli lazma usemwe,anajiedit au la Zari ni mrembo sana
Panga Akina mama/dada wa watoto 4 unaowajua afu tuambie nani anaibuka kidedea,penye sifa tuzitoe wema kwa zari cha mtotoo
 
Alibeba sana ngada na kuna Ivan na pia hana tofauti na ma ubaya coz wote ni mama huruma a.k.a expensive sluts ila Zari kwa kazi ingine ni baby factory na anaishi kwa nguvu ya child support
Nguvu Kijijini mjini akili
 
Kaona kuzaa ni dhahabu mno wakati hata paka anazaa ,ye azae tu sio lazima kila mtu azae katika dunia hii alaaa
Ila atambue kuzaa ni majariwa sawa wema Ana vijitabia vinakera lkn linapokuja kwenye suala la kuzaa mm huwa roho inaniuma wanavomuandama mdada wa watu hadi sometimes analia .. Huyo zari angekaa kimya tu lkn sio kuingiza kizazi chake ktk bifu za kijinga
 
Kweli kabisa mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…