Humbo born
New Member
- Nov 29, 2011
- 2
- 0
jamani nini dawa ya uume. mdogo.?? nataka kuwa na uume mkubwa kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani nini dawa ya uume. mdogo.?? nataka kuwa na uume mkubwa kidogo.
hili ni pepo umeamua ulete hadi jf sungekaa nalo tujamani nini dawa ya uume. mdogo.?? nataka kuwa na uume mkubwa kidogo.
Kwani ya kwako ina ukubwa gani kwa sasa na unataka iwe na ukubwa upi?
kila mtu anapewa kwa saizi yake ukute uliyeandaliwa kuwa naye(mke) naye anayo nyembamba mi naona utafute ushauri wa mautundu haijalishi ndogo au kubwa mke ataridhika tu.Mdogo sana!!!!