kaka kwani tatizo nini? hufiki kileleni ? au tatizo shemeji au wachumba wanasema mtarimbo wako ni emoro? Lakini mimi naona hakuna haja ya kutafuta dawa kuongeza huo mtarimbo wako, kwani Mungu ana makusudi yake ya kukupa hicho ulicho nacho pia unatakiwa kumshukuru, Just imagine angekupa mtarimbo kama tango la Tsh 500 halafu likawa halifanyi kazi yaani limelala dolooooo 7/365, si bora ushukuru Mungu wewe unao mdogo lakini unatwaga kwa kwenda mbele. Ndugu kumbuka kwamba kila kitu ambacho si cha asili huwa kina madhara yake baada ya muda fulani. Unaweza pata huo mkubwa lakini ukawa tena ufanyaji kazi wake ukwani ni wa mashaka tena mpaka uangalie picha za kikubwa ndio udise. ACHA KUTAFUTA DAWA, ILA MSHUKURU MUNGU KWA KILE ALICHOKUPA. Pia jifunze kujiamini na kuutumia vizuri tu huu mtarimbo wako mbona ukiutumia vizuri watakuwa wanarudi na kutaka tena na tena , pia kumbuka ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, ebu take it bro.