Jeiefu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 781
- 1,580
Mfano huyu mpho ana vyote hips na tako la haja
Mwingine ni masogange ana tako la haja lakini hips zake sio kuubwa sana
Mwingine ni huyu mdada anaitwa linda ana hips za haja lakini tako ni hakuna
Maliasili ya taifa sasa ana wowowo(japo lipo kama mstatili) lkn hips zake sasa vichekesho
Maoni yangu umbo la mpho khati ni tamu wanawake wote tungeumbwa hivyo hakika wanaume mngepata taabu ya kuchagua
Umbo zuri ni uwe na vyote kwa kiasi lakini ikishindikana hips zikiwepo basi haina mbaya maana hata kutizama huwa tunaanza mbele na sio nyuma