Umbo lipi linavutia kwa kumtizama kati ya mwenye hips kubwa au tako kubwa!!!

Jeiefu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
781
Reaction score
1,580
Mfano huyu mpho ana vyote hips na tako la haja

Mwingine ni masogange ana tako la haja lakini hips zake sio kuubwa sana

Mwingine ni huyu mdada anaitwa linda ana hips za haja lakini tako ni hakuna

Maliasili ya taifa sasa ana wowowo(japo lipo kama mstatili) lkn hips zake sasa vichekesho

Maoni yangu umbo la mpho khati ni tamu wanawake wote tungeumbwa hivyo hakika wanaume mngepata taabu ya kuchagua

Umbo zuri ni uwe na vyote kwa kiasi lakini ikishindikana hips zikiwepo basi haina mbaya maana hata kutizama huwa tunaanza mbele na sio nyuma
 
Mi naanza kuangalia nyuma. Nipendagi ujinga
 
Ni toto la ukweli kuanzia shingoni kushuka chini ila sura yake hasa akicheka duh!!
Hatuanfalii sura, ndio maana jamaa akasisitiza" hata ujirembe vipi sisi tunatizama wowowo"
 
uzuri wa dushe likiwa lipo ktk moto wake haliaangalii hip wala tako-linaangalia kishimo kiko wapi-basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…