Gwakisa George
Member
- May 26, 2013
- 67
- 14
Daa bonge la shule
nimesoma pande hzo but nimesoma lyamungo watani wa jadi wa umbwe!
Lyamungo vs Umbwe bonge la deby kwa shule ukanda ule!
nackia et umbwe waliua dent wa lyamungo
no lyamungo ndo waliua dent wa umbwe ilikua ni 17 mwez wa 8 2009 .
Kaka Umbwe ilikuwa miaka ya tisini mkuu enzi za wakuu wa Shule kina Tango,Msele,Shayo siku hiz hakuna kitu imebaki historia mkuu wangu kaka na jina mazingira yameshakufa madarasa yamegeuzwa mabweni mkuu wangu,walimu hakuna tena na si nzuri kama kipindi hicho nakushauri kama home wako vizuri utafute shule nzuri hapo mjini usome enzi za ufaulu kujisifia imekufa kaka now ni kutengeneza cheti,kama ni wakina Kayumba mkuu nenda kamanda kapige msuli tu huna ujanja ila kama home wako vizuri kiada si kushauri,imebaki jina utaenda pigwa na Baridi plus no walimu kaka mwisho form six 0.
acha kukatisha tamaa raia wewe si wenyewe tumetoka hapo nilienda na chali angu tulie maliza wote olevel pamoja akakimbia coz xul ya olevel ilikuwa kulishw kwa kijiko akarudi zake private, raia nikakomaa na nimetoka fresh chalii aliekimbia ubozini tokeo likaja bovu, so machali msihanye na kila kitu mambo kukoma labda umeende Mafeza boys na zingine za level hizo ila private za kawaida unaenda kubadilisha radha ya msosi tu yaani ni majanga tu.