Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,517
- 1,869
Mwaweza kujionea wenyewe kwa hiyo clip. Huku kwetu Tanzania mihemko ndiyo inatawala. Eh Mwenyezi Mungu tunaomba rehema.View attachment VID-20180726-WA0048.mp4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli unauma, jadili hoja sio matusi, ndo maana nchi hii imeangamia kwa kukosa maarifa. Juzi nimetoka kijijini, wakulima wanalia. Wana mazao lakini wamezuia wasiuze kwa wafanyabiashara wanaotoka nje ya nchi.makamanda bhana, yaani wapo tayari kumpa adui t.go ili mradi tu kumkomoa ngosha...maajabu haya!
Mwaweza kujionea wenyewe kwa hiyo clip. Huku kwetu Tanzania mihemko ndiyo inatawala. Eh Mwenyezi Mungu tunaomba rehema.View attachment 819460
Issue ni kuwa kitu kimoja, Wakenya tuliwadharau kwa ukabila kwa sasa wako mbali hatuwafikii. Hata ukiangalia utajilinganisha nao?Umewahi kunywa juice taamuuu,
Lakini mwishoni ndani ya bilauri unayoitumia ukakutana na Inzi au nywele?
Yak, Ndio hii sasa.
Hivi Uhuru hapo mwishoni anaposema,
Ameomba kwa jina la
'Babayake Yesu Kristo',
Vipi Wakenya-Waislam na Wengine wasio Wakristo,
-Wanaitikia Amin?
Vipi kuhusu hisia zao?