Umeacha lini tumia taulo kujifunika kwenda bafuni?

Kutumia boksa Kama taulo.
 
Kwa hiyo wewe unapoenda bafuni unaenda na jinzi na tisheti... Au unaenda huku umechomekea kabisa?

Kumbukeni bafuni ni kwa kwenda kuoga... Unaendaje na minguo yote hiyo! Khaaaaaaa.....
Mkuu ukitoka je ukakuta nyumba na nguo zimeungua moto utafanyaje
 
Mkuu kwani mkioga mnajipakaga mafuta mwili mzima mm napakaga zile sehemu nguo azifiki basi
 
hiyo cha mtoto, kuna jamaa wakati tupo form 4 alikuwa anatembea na boxer nyumbani kwao,wapo dada zake wakubwa na mama yao
kuna familia mkuu wanaishi maisha ya tofauti sana,unakuta mabinti wapo na vinguo vifupi wanatembea tu ndani mbele ya wazazi
 
Utapokuta mwana amefutia hio taulo yako kwny mstari wa ikweta.

mi nilikuwa nafutia langu ,ni vile vi taulo vidogo sasa kuna manzi kila akija geto tukimaliza kula anafutia mdomo wake kale ka taulo[emoji23] nikawa namkataza ananiuliza kwanini asifutie nashindwa sababu ya kumpa
 
Hahaha kwaio kala mavi daaa
 
hiyo cha mtoto, kuna jamaa wakati tupo form 4 alikuwa anatembea na boxer nyumbani kwao,wapo dada zake wakubwa na mama yao
kuna familia mkuu wanaishi maisha ya tofauti sana,unakuta mabinti wapo na vinguo vifupi wanatembea tu ndani mbele ya wazazi
Mmmh iyo sio studio ya brazzez
 
Kuoga bila taulo ni mtihan mgumu sana kwangu ikifika kile kipengele cha kujifuta hapo ndio huwa naipenda sana taulo yangu.
[emoji23][emoji23] kuna jamaa yangu geto kwake analo taulo special kwa demu kila anaekuja anajua n lake peke yake ila ndio hivo washalitumia wengi sana.
 
Kanunue Kanga KTM Ndiyo Uwe Unajifutia Tu πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ™„πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
Kuna mzungu flani awez jifutia anajifutia kanga sa sijui wa tanga ya ujerumani
 
Pale nilipomfuma mwamba Fulani anajifutia matakoni kwenye mstari wa greenwhich ilikua boarding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…