UMEBADILIKA,,?

UMEBADILIKA,,?

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Baada ya kuchangamana na watu mbalimbali hatimaye unajigundua madhaifu yako,, pia unadhani labda yale Malezi uliyolelewa pia yamechangia kiasi flani

Ila umepiga Moyo Konde ukaweka Utayari na Uthubu hatimaye Unajigundua kumbe una Uwezo mkubwa tu wa kupambanua mambo mbalimbali iwe ya kijamii,kisiasa hata kiuchumi,, na hii pengine baada ya kuona watu flan flan wanakukubali hapo ulipo au kokote uendako,,

Baada ya kusoma hii Nyuzi basi acha Nukuu yako,, ili tuisome huenda na sisi tukabadilika,,
 
Zamani nilijua kwamba nasoma ili nipate utajiri na nikaamini watu wote wanasoma ili wapate utajiri.ila baada ya kukua nilijua kwamba kumbe kusoma unatafuta kazi tu na sio pesa,pesa hazihusiani na kusoma kabisa.
Kumbe usisome kutafuta utajiri itakufa presha,soma kutafuta ajira tu

Zamani nilikuwa naamini kwamba kumridhisha mwanamke ni kutumia lisaa lizima ukimsiguwa kwa uumer,baada ya kukua nikagundua kwamba kumbe unaweza usiwe na uume kabisaa na ukamridhisha.

Zamani nilikuwa naamini kwamba kigezo cha mwanaume kuwa ana nguvu za kiume ni kuzaa watoto wengi,kumbe unaweza usizae kabisa na ukawa na nguvu za kiume,na unaweza kuzaa watoto 100 bado ukawa huna nguvu za kiume.

Zamani nilikuwa naamini kuwa waalimu wanapokea mpunga wa maana maana wao ndo chanzo cha yote,nikaja kuamini pale ambapo nilimuons rafiki wa mdogo wangu ambae ni jeshi anapokea mshahara mkubwa na maposho kuliko mwalimu wake wa sekondari na huyo jeshi ni form four tu.

Zamani nilikuwa naamini kuwa watu wanadai nyongeza ya mshahara labda ni kuwa kinachoongezwa ni mara 2 ya wanachopokea,yaani mfano wanapokea laki 8 basi wataongezwa itafika 1.6M.
Kumbe wanadai nyongeza ya pesa ambayo hata robo ya wanachopkea haifiki(nyongeza muhimu)
 
Dah, nimekuelewa mkuu shukrani sanaa, ubarikiwe
 
Back
Top Bottom