Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
dah wadau since washatuletea selection hawa tcu sasa tunapumua mana tulianza nao kwenye tatizo la voucher zao na kuchelewesha matokeo anyway ndo hivyo ki2 kishatoka ,wadau ningependa tuambiane ulipochaguliwa na je hicho ndo chuo ulichotegemea kukipata kwa namna nyingine je wamekutendea haki?
Sio kwamba nimeridhika tu na Degree program niliyo chaguliwa lahasha bali na furaha kubwa sana kwa kuchaguliwa 1st choice yangu!
SHUKRANI ZIENDE KWA MKUU SENATOR KWA MCHANGO WAKE HAPA JF
Sio kwamba nimeridhika tu na Degree program niliyo chaguliwa lahasha bali na furaha kubwa sana kwa kuchaguliwa 1st choice yangu!
SHUKRANI ZIENDE KWA MKUU SENATOR KWA MCHANGO WAKE HAPA JF
itakuwa vibaya kama ukiitaja.......?
Hapana sio vibaya its
Bsc. in Mining Engineering at University of Dodoma