Umechaguliwa TIA soma hapa uone mwenyewe

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
Kwanza na penda kutanguliza salaamu kwenu wadau wa JF.Napenda kuwa juza kwa wale walio chaguliwa kwenda chuo cha uhasibu yani na maanisha TIA, Ebu ni eleze sifa za chuo hicho kwanza ma lecturer wote wapo fiti yani kitaluma pia na mambo ya ICT yapo poa kabisa,ila kwa upande wa kitabu yani ukifanya uzembe uta feed supu,kwani neno supu lina maanisha Sapulimenteri pia kuDisco kupo inje inje,cha msingi piga buku 2.
KWA UJUMLA TIA IKO FITI,kwa mfano kwa wale ambao wamemalizia Diploma yao hapo TIA wajua namnagani Mitihani inavyo kuwa,kumbuka TIA kina campus 5 like Mbeya,singida,mtwara,mwanza,Na main campus ni DSM,ambapo zina tolewa Certificate,Diploma, Degree,Hadi Masters na PHD ,sasa kuanzia certificate hadi diploma ,kipindi cha mitihani kwani campus zote zina fanya mtihani mmoja,kwahiyo like form four,JAMANI KARIBU SANA TIA,
 
kweli kabisa hicho chuo noma kwa supu na disco maana ukifanya uzembe wa kupiga msuri utapewa 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…