Hahaha
Karibu kijana Muhimbili University Of Hypertension and Associated Stresses (MUHAS)
Bachelor of science in torture & killing (Udsm)
Nimeona ni vyema kuwe na uzi kwa ajili ya watu waliopangiwa post mbali mbali kujua wenzao wengine walipangiwa sehemu moja na pengine muanze kuwasiliana kabisa. Karibu!
Nit procurement and logistics management
nina wax wax na iq yako
Huenda yako ikawa ndogo kuliko ya muhusika
Mipango,dodoma.Bachelor degree in environment planning and management.