Umechelewa sikuhizi siitwi dume suruali naitwa dume mipensinyanya

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Wanaume kweli tume amka japo bado wapuuzi wachache.

Nikiwa mtandaoni nakutana na post hiyo hiyo hapo kwenye picha chini.

Nikakutana na koment ya kiume ikisema

"Ongezea pointi moja na huyo mwanamke akae nyumbani maana manufaa ya kazi yake ni hamna"

Basi kwenye hiyo koment kukawa kimejibiwa na bonge moja la feminist kuwa

"Manufaa ya kufanya kazi yapo maana namsaidia mama yangu"

Hili jibu wanaume wengi likawa linawakereketa hawajui wamjibu nini. Nikajitokeza mkombozi nikajibu

"Mama yako angekua anahitaji msaada wako asinge kubadirisha na ng'ombe"

Wadau wakaja kucheka sana na kulike hiyo koment. Feminist akapagawa na kuja kunitukana...

"Kanye mbele dume suruali"

Akijua mimi ni wale wanaume wenye uwanawake ndani yetu ... nika mjibu

"Umechelewa dada sikuhizi wenzio wananiita Dume mipensinyanya"

Katoka nduki kasi ya 5g

NB
Nafurahi kuona wanaume tunaamka kwa kasi sana ..... 50/50 ndio mpango mzima hatucheki na kima.
 
Attachments

  • Screenshot_20240625-123614_Instagram.jpg
    Screenshot_20240625-123614_Instagram.jpg
    263.2 KB · Views: 4
Wanaume kweli tume amka japo bado wapuuzi wachache.

Nikiwa mtandaoni nakutana na post hiyo hiyo hapo kwenye picha chini.

Nikakutana na koment ya kiume ikisema

"Ongezea pointi moja na huyo mwanamke akae nyumbani maana manufaa ya kazi yake ni hamna"

Basi kwenye hiyo koment kukawa kimejibiwa na bonge moja la feminist kuwa

"Manufaa ya kufanya kazi yapo maana namsaidia mama yangu"

Hili jibu wanaume wengi likawa linawakereketa hawajui wamjibu nini. Nikajitokeza mkombozi nikajibu

"Mama yako angekua anahitaji msaada wako asinge kubadirisha na ng'ombe"

Wadau wakaja kucheka sana na kulike hiyo koment. Feminist akapagawa na kuja kunitukana...

"Kanye mbele dume suruali"

Akijua mimi ni wale wanaume wenye uwanawake ndani yetu ... nika mjibu

"Umechelewa dada sikuhizi wenzio wananiita Dume mipensinyanya"

Katoka nduki kasi ya 5g

NB
Nafurahi kuona wanaume tunaamka kwa kasi sana ..... 50/50 ndio mpango mzima hatucheki na kima.
🤣🤣🤣😁dah okay
 
Back
Top Bottom