Phone4Sale Umechoka kufuta document kwenye simu mara kwa mara?

Phone4Sale Umechoka kufuta document kwenye simu mara kwa mara?

dr_vivo_dar

Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
17
Reaction score
12
Mambo vipi?

Mimi nauza simu bwana. Lakini kwa wateja ambao wanatafuta simu zenye storage kubwa.

Yaani umechoka kufuta picha au document ofisini mara kwa mara. Na unatafuta simu yenye uwezo mkubwa.

Utaalam wangu mimi ni simu za vivo. Sina uzoefu na simu nyingine yeyote ile.

Kama unazijua au umemwona mtu anazitumia ~ na una changamoto ya kufuta document za simu mara kwa mara unaweza ukaendelea kusoma.

Zipo za aina nne:-

✓V235g - 128gb + 12gb ram - 1,190,000
✓V23e - 128gb + 12gb ram - 719,000
✓Y33s - 128gb + 5gb ram - 560,000
✓Y21 - 64gb + 4gb ram - 450,000

Zote ni:-
✓4g
✓Double line
✓Zina warranty miaka miwili

Ofisi yetu ipo kariakoo mtaa wa Aggrey jengo la China Plaza. Ground floor. Kuna bango kubwa la vivo kwa nje.

Kama una maswali ya ziada unaweza ukauliza. Karibuni wote
 

Attachments

  • Screenshot_2022_0311_201453.jpg
    Screenshot_2022_0311_201453.jpg
    20 KB · Views: 53
  • mmexport1647426205624.jpg
    mmexport1647426205624.jpg
    76.4 KB · Views: 52
  • Screenshot_2022_0320_125555.jpg
    Screenshot_2022_0320_125555.jpg
    27.7 KB · Views: 50
  • Screenshot_2022_0320_125839.jpg
    Screenshot_2022_0320_125839.jpg
    23.6 KB · Views: 47
Vigezo na masharti vikoje kwenye kukopesha?
1. Unahitaji laini ya voda
2. Kama ni mfanyakazi wa serikali inatumika check namba
3. Details zake zinaingizwa kwenye system
4. System inasoma unafaa kupewa mkopo wa kiasi gani
5. Ukishaingizwa kwenye system unaweka deposit ya kwanza na unapewa simu
6. Kila mwezi unakuwa unakatwa kupitwa namba yako ya voda au check namba
 
Back
Top Bottom