Hizi zimepitwa na wakati pia.View attachment 2321920
Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi kuliko mwenye Computer yenye RAM 8 alafu inatumia HARD DRIVE yakawaida.
Sio bei kubwa mdau wangu, ni Tsh 80 elfu kwa GB 256.
KARIBUNI SANA.
+255622901670
Issue sio aina ya Computer! Nenda Kenya tu hapo! Mtu ikumuweka HDD kwenye Computer yake hakuelewi ata kidogo, sisi huku bado tunatumia HDD hiziAliniambiab fundi hii kitu.
Lakinib nahisi computer tunazouziwa Tanzania/ nyingi zina shida. Kuna computer za ulaya. Ninaposema za ulaya yaani zilitengenezwa kwa minajili ya soko la ulaya koz zina vitu vya hardware ambyo unakuta vipo specific kwa lugha ya kinadish. Hizi kompyuta zina disc na ram kama hizi zetu lakini zao zipo fasta kinoma sijui shida inakuwa wapi. Kwa hizi tunazouziwa akina siye
Unauza mpya au usedLaptop Dell Latitude 7480 6 Generation
Processor:- Core i5 CPU@2.40GHz (4CPJs)
Memory 8 GB
Storage 256 GB SSD
Battery [emoji367]✓
Touch Screen ✓
Keyboard Backlight ✓
Tsh 750,000/= Na risiti yako ya EFD unapata
View attachment 2351269
Upo wapi
Upo wapi
New au refubrished?Laptop Dell Latitude 7480 6 Generation
Processor:- Core i5 CPU@2.40GHz (4CPJs)
Memory 8 GB
Storage 256 GB SSD
Battery [emoji367]✓
Touch Screen ✓
Keyboard Backlight ✓
Tsh 750,000/= Na risiti yako ya EFD unapata
View attachment 2351269
Kucorrupt kwa windows kunaweza kusababishwa eidha na wadudu, file windows kufutika au tatizo la hard ware yaani hdd zenye life ndogoMkuu laptop yang nkiweka window haimalizagi ata week ina corrupt nahis nkiweka hiyo SSD Itasadia?