Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Itazame vizuri hiyo picha ya mchoro, halafu niambie umeelewa nini. Nasoma comments zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The dead leading the mortalItazame vizuri hiyo picha ya mchoro, halafu niambie umeelewa nini. Nasoma comments zote.
View attachment 3088631
The dead leading the mortalItazame vizuri hiyo picha ya mchoro, halafu niambie umeelewa nini. Nasoma comments zote.
View attachment 3088631
trueThe Movie of how artificial drugs kills, and we the people we don't care though we know ,but fewest among us avoid
huo mchoro unausisha na shetan mara nyingi utafsirika kama mchoro wa kifo.Bro shetani ndio yupo nyuma ya media kuonyesha kwamba baadhi ya mambo ni normal. Ila kiuhalisia ni maangamizi.
Nimeelewa kama wewe.Watu wameacha mwanga, mimea, miti na uhuru, wapo shimoni kwenye giza wanaaminishwa tiba na mambo ya kisasa ndio njia inayofaa.
Itazame vizuri hiyo picha ya mchoro, halafu niambie umeelewa nini. Nasoma comments zote.
View attachment 3088631
Jamaa anawaonesha hii movie wananogewa kuangalia baadae anawaua hayo mafuvu lakini kuna mmoja mjanja kashitukia anatoka kwenye shimo vizuri ili asiuwawe kama wengine.
Kiufupi shetani ndio ana pull the strings. Huyo jamaa ameshtuka hataki kuwa attached.
Shetani ana wa brainwash wanakosa mwanga wa jua ili awaue
Watu wameacha mwanga, mimea, miti na uhuru, wapo shimoni kwenye giza wanaaminishwa tiba na mambo ya kisasa ndio njia inayofaa.
The Movie of how artificial drugs kills, and we the people we don't care though we know ,but fewest among us avoid
The dead leading the mortal
The dead leading the mortal
true
huo mchoro unausisha na shetan mara nyingi utafsirika kama mchoro wa kifo.
uenda mchara kibonzo alimaanisha Kifo na sio shetani.
Kazi hazifanyiki kushinda kwenye mavideo and alike .. wanamadawa ya kienyeji mizizi lakini wanaignore na kufundishwa tiba za kisasa ... Jua ndo chanzo cha nishati tunalikwepa tumewekewa uzio wa kushidwa kuelewa shetani anarun dunia ..wengine wachache wamestuka
Nimeelewa kama wewe.
Wewe unakuja Kuna kwenye maana halisi ya kibonzo👏🏽Kazi hazifanyiki kushinda kwenye mavideo and alike .. wanamadawa ya kienyeji mizizi lakini wanaignore na kufundishwa tiba za kisasa ... Jua ndo chanzo cha nishati tunalikwepa tumewekewa uzio wa kushidwa kuelewa shetani anarun dunia ..wengine wachache wamestuka
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽Imetokea tu sijui kwa namna gani hasa katika uzi huu kuwa wote mliochangia uzi huu ni watu makini sana na wenye kitu cha pekee kwenye nafsi zenu!
Mmeweza kuona?
- Shetani kawafungia watu shimoni (katika fikra na mawazo potofu)
- Humo kajenga ukuta kati yake na wao hata wasiweze kumwona
- Kwamba shetani yupo nyuma ya mambo ambayo wanadamu walio wengi wanaamini kuwa ni kweli, kumbe actually ukweli upo nje kabisa na yale tunayooneshwa na shetani
- Shetani is a manipulator of the truth
- Huwanywesha watu vyakula vya sumu kama pombe n.k. halafu wakiugua huwaletea dawa na kuaminisha bila dawa hizo hawawezi kuishi (sekta ya tiba inawapumbaza watu wengi)
- Kumbe ukweli ni kuwa maisha ya asili na kuishi ukweli/mwanga (truth) ndio jibu la maisha yetu.
- Dawa zetu zote zinaweza kutokana na vyakula vya asili tunavyokula kila siku
- Uhuru wa mwanadamu hutokana na kuishi maisha ya ASILI!
Umefanya analysis nzuri ya picha kwa kusummarize yote ya wengine. Naona shetani amezuiya ukweli usiwafikie watu. Hiki kibonzo kinaelezea maisha yetu hasa waafrika kwenye nyanja zote kama dini, elimu, utamaduni, afya, maendeleo etc. Swali ni nani atakuja kututoa kwenye shimo? Jibu ni alie na mawazo ya miaka 200 iliyopita ambayo tiba zetu, elimu zetu etc vilikuwa na maana. Lakini ukiwa na mawazo hayo unaonekana hamnazo kwa wale wale unaotaka kuwasaidia.Imetokea tu sijui kwa namna gani hasa katika uzi huu kuwa wote mliochangia uzi huu ni watu makini sana na wenye kitu cha pekee kwenye nafsi zenu!
Mmeweza kuona?
- Shetani kawafungia watu shimoni (katika fikra na mawazo potofu)
- Humo kajenga ukuta kati yake na wao hata wasiweze kumwona
- Kwamba shetani yupo nyuma ya mambo ambayo wanadamu walio wengi wanaamini kuwa ni kweli, kumbe actually ukweli upo nje kabisa na yale tunayooneshwa na shetani
- Shetani is a manipulator of the truth
- Huwanywesha watu vyakula vya sumu kama pombe n.k. halafu wakiugua huwaletea dawa na kuaminisha bila dawa hizo hawawezi kuishi (sekta ya tiba inawapumbaza watu wengi)
- Kumbe ukweli ni kuwa maisha ya asili na kuishi ukweli/mwanga (truth) ndio jibu la maisha yetu.
- Dawa zetu zote zinaweza kutokana na vyakula vya asili tunavyokula kila siku
- Uhuru wa mwanadamu hutokana na kuishi maisha ya ASILI!
Nimekukubali sana Mleta mada na wachangiaji wote hakika nimejifunza vitu vingi sana vizuri.Itazame vizuri hiyo picha ya mchoro, halafu niambie umeelewa nini. Nasoma comments zote.
View attachment 3088631