Umeenda Club/ Casino wewe mwenyewe halafu hutaki kucheza! Si bora ungebaki Kwa baba yako

Umeenda Club/ Casino wewe mwenyewe halafu hutaki kucheza! Si bora ungebaki Kwa baba yako

Mtoto keshakubali.....ila wahivi raha sana mambo ya viaibu aibu......,,sio wale unakohoa tu kidogo mtoto anageuka anakukata jicho kali kama tochi ya askari wa barabarani , anangojea ufanye finishing tu,,,,....mjini tunakula vibudu sana
Hatari sana
 
Hii kitu niliikuta kwa mara ya kwanza Nairobi early 80s. Mwanamke anamuacha mumewe ndani anaenda disco. Anafurahia muziki pekee. Na kwa vile gharama za kukodi taxi zilikuwa juu, walikuwa wanasubiri matatu zianze kazi ndipo wanaondoka. Nilikuwa naona ajabu mwanamke asiye Kahaba kwenda Disco pekee yake.
 
Back
Top Bottom