Umefanya makosa mengi lakini ni kitu kipi hujawahi kosea?

Umefanya makosa mengi lakini ni kitu kipi hujawahi kosea?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Huwa Kama binadamu tunafanya makosa mengi tu.

Lakini kuna lakini kuna jambo jengine huwaga hukosei je ni lipi hilo?

Mimi binafsi niwe mkweli makosa nimefanya mengi. Lakini la kuondoka kwenye sherehe bila kula haijawahi tokea..

Pancho boy
 
Back
Top Bottom