Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi .

Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD .

Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua .

Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum yetu hata kama tumekosea?.

Yaani Kwa harakaharaka kwanini umkamate/umteke MTU Kwa silaha nzito nzito, alafu bado umfiche kiasi hata Ndugu zake wasijue walipo??.

Mtuhumiwa Si kutoa taarifa tu umemkamata, Kisha mfikishe Mahakamani?.
 
Mjinga anapoachwa kushika nafasi za juu za kimaamuzi, Huwa ni hatari.

Kichwan kwake amejaza Hila, chuki, Uchawi na matumizi ya nguvu akisingizia ndicho alichofunzwa
 
Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi .

Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD .

Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua .

Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum yetu hata kama tumekosea?.

Yaani Kwa harakaharaka kwanini umkamate/umteke MTU Kwa silaha nzito nzito, alafu bado umfiche kiasi hata Ndugu zake wasijue walipo??.

Mtuhumiwa Si kutoa taarifa tu umemkamata, Kisha mfikishe Mahakamani?.
Kaka kupanda kuwa OCD kungekuwa kurahis hivyo wangekuwa wa kumwaga, its not easy kabisa. Degree lazima according to miongozo, lakini si degree wote wanapanda kufika huko
 
Mkuu hizi degree zenyewe za distance learning?.
Kaka kupanda kuwa OCD kungekuwa kurahis hivyo wangekuwa wa kumwaga, its not easy kabisa. Degree lazima according to miongozo, lakini si degree wote wanapanda kufika huko
Au hizi za ww ni mtoto wa Kiongozi, umefeli Kidato channe, unaenda Nje ya Nchi, miaka minne unarudi na Degree.??

Degree holder akiwa anazungumza juu ya kile alichokisomea, ni ww unayeona Aibu.
 
Back
Top Bottom