Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Umefika muda Yanga sc hawajui hata waanze kumlaumu nani.
Kipigo cha leo cha Yanga dhidi ya Al Hilal kimekuwa na sitofahamu tatizo la Yanga ni nini kwa sasa maana kila mtu anasema lake
Kocha anasema wachezaji hawana fitness lakini mpira ulivyochezwa Yanga wamepata nafasi nyingi na ndio waliotawala mpira maana muda wote wako golini kwa Al Hilal.
Mashabiki wanasema timu ilikosea kufanya usajiri wa dube,chama na baleke.
Diarra kumbe wa kawaida tu analindwaga na baka tu.
Kocha hana mbinu zozote.
Wengine wameenda mbali wanamkumbuka Haji Manara mzee wa propaganda,alikuwa karibu na wachezaji wachezaji wanajituma.
Wengine Kibabage sio beki wanakula hela za bure na kwenda kuroga. Wengine wanasema Yanga haiwaheshimu wazee, ndio maana sasa hawafanikiwi
Wengine ngoma ikivuma sana upasuka. Wengine tulisema ya Gamondi tukaonekana wanoko,Gamondi hakutakiwa kuondoka timu imekurupuka.
Wengine badala ya kuleta wachezaji vijana wameleta wazee. Wengine usajiri wa dube tumepigwa.
Ongezea na wewe ulichokisikia na na useme tatizo la Yanga ni nini kwa sasa?
Kila mtu sasa hivi anasema lake