Maridhiano ya taifa hayafikiwi kwa bla bla, bali kwa vitendo. Aina budi ieleweke ugomvi si JK, bali sera zake zinazosababisha rasilimali ya nchi kuwafaidisha watu wachache, wakati walio wengi wanaendelea kudidimia kwenye umasikini wa kutupwa.Hivyo kama Jk anataka kuwepo maridhiano ya kitaifa hana budi aitisha mjadala wa kitaifa ili wananchi wenyewe wamwelezee vipaumbele vyao.