huwezi kufuata yote lazima pawe na moja inayobeba nyinginetunafuata yote........
Chagua mojaall of the above...............
sio formula hii ukariri na ubishi hamna haposasa wewe umekariri naona
au umezaliwa mbishi..
Kwani kuoa kuna tofauti na mapenzi ya upenzi? Nauliza hivi coz ktk mahusiano ya upenzi nilionao maswali yote ya mtoa mada hujibika. In general swala la ngono na kupata watoto hupewa kipaumbele!Katika kuoa kuna kuoa kwa aina tatu1 kijana anaona ana majukumu mengi ya kazi anaona anahitaji msaidizi km akute chakula kufuliwa nk2 tamaa yaani wenzake wote wameoa anawafuata na pia tamaa ya kungonoka wanavosema waswahili3 umri umefikia na anaweza kuitunza familiasasa hapa umefuata ipi au utafuata ipi?????asanteni