Umegundua kuwa mwanao kashikwa na Gubeli!

na hawa watoto wanaoenda india na kuishi kama wake wa vijana wa kibongo kule je???
mkuu gaga embu lete full story basi, tupe picha kamili ,naona kuna mada nyeti sana hapa
 
mkuu gaga embu lete full story basi, tupe picha kamili ,naona kuna mada nyeti sana hapa
Kwa kweli simshauri mzazi yeyote ampeleke mtoto wake hasa wa kike huko india, kuna kila aina ya vituko kuna ndugu zangu sasa hivi wanajutia uamuzi kama huo, wanajiozesha wenyewe huko
 
<br />
<br />
Nimekipenda hiki kisa,kuna mchiz wangu naye alipangiwa hostel tegeta high school.akalikamata lijimama la haja maeneo ya tegeta masite,dogo akahama bwen akahamia kwa maza akapewa chumba cha nje,baba mwenye nyumba alikuwa ni mtu wa safar sana,maza mambo safi,akajifanya ni wanafunzi wamepanga kwan kuna wengine walikuwa wamepanga hapo,mwisho wa siku ding akastuka anachukuliwa wife,vitu vyote vya dogo vikachuliwa mpaka madaftr na vitabu,mchizi alifeli kwa kushindwa kufikisha wastan wa shule wa kuingia fom six akahamia Moa hgh schl,huko nako ikawa balaaa.
 

Samahani hukunielewa kaka nilisema kuwa anaishi Hosteli na sio bwenini............. naomba kuweka sawa maelezo yangu kama nilivyoandika hapo juu........
 
atakuwa amenisaidia, huyo Gubeli lazima nimuoe japo kwa muda!
 

Gubeli ni kitu gani? mh hiyo sttory kali kama ya shigongo
 
Ha ha haaa ikiwa uko zanzibar ndoa kati ya waliobalehe inaruhusiwa! So kwenye hali kama hiyo ni kuwatafuta tu wale wataalam wa ndoa za mikeka wamalize hiyo biashara...
 
Kwa kweli simshauri mzazi yeyote ampeleke mtoto wake hasa wa kike huko india, kuna kila aina ya vituko kuna ndugu zangu sasa hivi wanajutia uamuzi kama huo, wanajiozesha wenyewe huko
huh! wanajiolewesha? kwa wahindi eeh? ndiyo maana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…