Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hapa ni nyumbani kwa Rais mstaafu Mwinyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimegundua Mwinyi si mdini kama JK, na hakuna udini nchini kama jk anavyousimulia!
Kama ni nyumbani kwa mzee ruksa mbona wageni hawajavua viatu!
Yaani, Alhaji Mwinyi kasimamia imani yake (bila viatu kapetini) na wazee wamekomaa na viatu kapetini.
kiboko ya Mwinyi ni huyu hapa.
![]()
haujiulizi kwa nini jamaa wametinga na viatu kwenye kapeti la mwinyi? mbona yeye haaingia na viatu.Hakuna jipya ninaloliona