Umegundua nini kwenye hii picha?

...Kwani hawakusalimiana walipoamka asubuhi au leo jamaa ameamkia mtaa wa saba??

Nami nilikuwa nawaza hivyo hivyo kuwa jamaa leo hawakuonana asubuhi kwavile jamaa aidha alilala nyumba ndogo au alilala Msoga na wanajim kabla ya kuja kwenye gwaride!!
 
Hv mtoto wa mfugambwa na yeye ana kitambi?....oh ooh, shameful!
 
Mama first lady kama vile kaongezeka uzito (chekishia hiyo double chin), second phase ya u first lady imeanza vizuri, sasa ikifika 2015 sijui atakuwa vipi?
 
Pinda kakunja ngumi na yuko tayari kumpa za uso mkwere!
 
Utu uzima vikichanganyikana basi inakuwa tabu kwa mzee wawatu!!


OMBI MAALUM
KWA KAKA KIIZA


Chonde chonde Kaka Kiiza, naomba turudishie Avatar yetu ya awali.

Mtoto wangu akiniletea zengwe nasogeza Laptop, nalog in JF natafuta thread ya Kaka Kiiza na kisha namuonyesha Avatar. Irudishe bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…