Umeibiwa kisimu chako cha tecno,utamuhis nani hapo????

Umeibiwa kisimu chako cha tecno,utamuhis nani hapo????

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Upo ndani ya daladala na

1.chris brown
2.rick ross
3.nicki minaj
4.beyonce
5.rihanna
6.msaga sumu

Mara paap!! umeibiwa kisimu chako cha tecno,utamuhis nani hapo????
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Upo ndani ya daladala na

1.chris brown
2.rick ross
3.nicki minaj
4.beyonce
5.rihanna
6.msaga sumu

Mara paap!! umeibiwa kisimu chako cha tecno,utamuhis nani hapo????
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
"KISIMU CHAKO" cha tecno ..... ndo wakusudia kutuambia nini .... watu mkijaaliwa kidogo tu mkanunua SIMU FULANI mnazoziona ndo simu "TECNO" mwaiona kama TOY ... mwajaa dharau .... kwa nini usiandike "SIMU YAKO" ya tecno .....
 
achana naye. avatar inamaliza kila ubishi. hii ni mada ya pili ikiletwa na watu wawili wenye majina yenye utata. ashara ya copy and paste
 
Mimi huyu MSAGA SUMU inabidi anipe MAJIBU ya kuridhisha tu...
 
Back
Top Bottom