"KISIMU CHAKO" cha tecno ..... ndo wakusudia kutuambia nini .... watu mkijaaliwa kidogo tu mkanunua SIMU FULANI mnazoziona ndo simu "TECNO" mwaiona kama TOY ... mwajaa dharau .... kwa nini usiandike "SIMU YAKO" ya tecno .....Upo ndani ya daladala na
1.chris brown
2.rick ross
3.nicki minaj
4.beyonce
5.rihanna
6.msaga sumu
Mara paap!! umeibiwa kisimu chako cha tecno,utamuhis nani hapo????
πππππππππ
achana naye. avatar inamaliza kila ubishi. hii ni mada ya pili ikiletwa na watu wawili wenye majina yenye utata. ashara ya copy and paste"KISIMU CHAKO" cha tecno ..... ndo wakusudia kutuambia nini .... watu mkijaaliwa kidogo tu mkanunua SIMU FULANI mnazoziona ndo simu "TECNO" mwaiona kama TOY ... mwajaa dharau .... kwa nini usiandike "SIMU YAKO" ya tecno .....