Umeibiwa simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—จ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ!!!




Je umepoteza au kuibiwa simu na unahitaji kulinda data (taarifa) zilizopo ndani ya simu yako. Kuna kitu kinaitwa remote lock unakijua ??



Najua wengi hawajui hii ni feature nzuri sana inayosaidia watu kuweza kufunga simu yake ikitokea simu iyo imeibiwa au kupotea kwenye mazingira ambayo sio salama.

Jinsi ya kufanya sasa ๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘‰ Fungua setting kwenye simu yako


๐Ÿ‘‰ Tafuta "Google" Kisha All service Kisha theft protection


๐Ÿ‘‰ Chagua remote lock weka on
Ili kukamilisha usajili utaweka namba yako ili iwe verified utabonyeza verify namba Kisha weka on Automatically verify phone numbers.







Ikitokea sasa simu yako imeibiwa au kupotea inabidi ufanye hivi ingia kwenye hii site android.com/lock weka namba yako ya simu Kuna repatcha image itatokea kupitia maswali jibu.



Ukimaliza sasa utaweza kuizuia simu yako kuibiwa kirahisi kwani ikitokea simu iko offline basi siku yoyote ikiwa online itajifunga navytaweza kuwa unlock kupitia skrini lock ya simu yako.

#bongotech255
 
Je unatakiwq kuseti kabla au baada ya kuibiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ