tueleweshe kwanza hiyo line inamaanisha nini harafu ndio na sisi tuweke zetu hapa,nahisi umewaza tu matusi hapo...'Nusu saa ya mshale...nusu suruale.... Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale'.
Sijui kama kweli uwa tuna pay attention ktk mistari ya hawa watu.
Tusaidiane hapo.
Kama una line yeyote tata iweke hapa.
"Nusu saa ya mshale (nusu ya furaha) ,nusu suluale (nusu ya huzuni) , niruhusu nisimame ( nipe uhuru wangu) ,nikuruhusu ulale (nikuache upumzike). Yeaaaah keep ya head ring'Nusu saa ya mshale...nusu suruale.... Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale'.
Sijui kama kweli uwa tuna pay attention ktk mistari ya hawa watu.
Tusaidiane hapo.
Kama una line yeyote tata iweke hapa.
'Nusu saa ya mshale...nusu suruale.... Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale'.
Sijui kama kweli uwa tuna pay attention ktk mistari ya hawa watu.
Tusaidiane hapo.
Kama una line yeyote tata iweke hapa.
mi sinaga tym yakujua line za mtu kama ameimba mafumbo ataelewa yeye ata we unawez kuandika mashair yako na watu wasielew'Nusu saa ya mshale...nusu suruale.... Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale'.
Sijui kama kweli uwa tuna pay attention ktk mistari ya hawa watu.
Tusaidiane hapo.
Kama una line yeyote tata iweke hapa.
Nusu saa ya mshale ni ile kitu inayowapa sifa ya uanaume, nusu suruale yaani yuko read kudo chapchap kama unakimbizwa, yaani suruali magotini mzee anakula mzigo[emoji3] [emoji3] [emoji3]'Nusu saa ya mshale...nusu suruale.... Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale'.
Sijui kama kweli uwa tuna pay attention ktk mistari ya hawa watu.
Tusaidiane hapo.
Kama una line yeyote tata iweke hapa.
Nusu saa ya mshale ni ile kitu inayowapa sifa ya uanaume, nusu suruale yaani yuko read kudo chapchap kama unakimbizwa, yaani suruali magotini mzee anakula mzigo[emoji3] [emoji3] [emoji3]