Umeielewaje hii line ya Joh Makini ktk wimbo 'nusu nusu'?

Mid nafikiri alikuwa anataka mistari iwe ina rhyme moja na sio maana.
 
Mistari ya Joh mingi uwa ina make sense. Sio Fid Q.
 
naskia kuna tuzo upo kwenye list.
naskia mnabebwa kwenye maplaylist
naskia mna undugu na hawa jounalist..

sijaelewa dongo la nani???

na daraja mbili ngarenaro, daraja hili hawadandii masoro
(dont bother)
Ni..daraja mbili ngaleloo...nt ngarenaro!
 
Zingua nikupoteze maisha kama Ditopile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…