Umeingia chooni umemaliza shuguli maji akuna t/paper akuna utafanyaje weekend hii??simu iko mezani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Anyway ni kukumbushana hasa wakati hu wa weekend tusiamini sana hotel ama baar zetu jamani
usile ukashiba ukakimbilia kufungua mlango mara umemaliza shuguli kuangalia maji hakuna
toilrt paper hakuna aiu itakushuka ndugu yangu hakikisha kabla ya kuingia ndani kuna maji
ama toilet pepa wapwa zangu
weekend njema
 
vitambaa vya lesso(vya makamasi) mfukono mkuu! Vinasaidia sana kwa emergency!
 
ukiingia toilet na kushusha mzigo bila kuangalia kama kuna maji na tishu ujue WEWE MHUSIKA UTAKUWA NA TATIZO KUBWA SANA UPSTAIRS!!!!!!!!!!!!

Hata ukiwa unaendesh lazima uende tishu mkononi
 
kuna haja nyingine uwezi kukumbuka kuangalia.ila ya kung'oa mfuko nimeipenda.
 
Unavaa hivyo hivyo utanawa mbele ya safari.
MAPROSOO.
 
Chambia wekundu wa msimbazi kwenye pochi lako, uki2mia wa5 kwa kujiswafi sio mbaya...

Don't try this at Toilet...
 
ukiingia toilet na kushusha mzigo bila kuangalia kama kuna maji na tishu ujue WEWE MHUSIKA UTAKUWA NA TATIZO KUBWA SANA UPSTAIRS!!!!!!!!!!!!

Hata ukiwa unaendesh lazima uende tishu mkononi
Hakika
 
Back
Top Bottom