Naona ni kijana tu huko nyuma na Mzee Tingatinga (mtani wangu) hawajalala. Wengine wote wamejichokea zao mbaya. Ila njaa inabidi tu uendelee maana madaraka matamu ati.
Wametoka kukesha kwa waganga unatarajia nini hapo?
huyu wa mwanzomwanzo kushoto anaonekana kazimika kiafande maana hilo pozi:😀dah!
Wakuu,
Hivi walivyolala, ndo exactly walivolewa na kulalia madaraka.