Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Tunaelekea mwaka mpya 2025 siku chache zijazo, umejipangaje? Mwaka 2024 ulikuwa wa kufosi, tukafosi na kufosi, baadhi vikanyooka, vingine tukafosi kweli mpaka tukatoboa, vikingine vikashupaza shingo😂😂umeweza. Je, umeweza kutimiza malengo yako kwa asilimia ngapi?
Katika hayo yote naamini kuna vitu umejifunza, kuna mambo umeona hayakufai inabidi uyaache 2024, kuna mazuri ya kubeba na kusonga nayo mbele, kuna vya kuboresha ili uwe bora zaidi na kuna vya kuanzisha upya kabisa for new and fun experiences.
Sasa umejiandaaje kusonga mbele wakati tunaingia 2025? Tunaenda na moto gani mwaka 2025?