Kwako, muda huo wewe uko baa huku watoto ukimwachia boda boda akutizamie1&2 Havina umuhimu wala faida yoyote.
Dakika hizo chache nizazitumia kukupa taarifa hizoNani ata repot taarifa za HAMAs sasa kutoka Gaza?
Allah akuongoze katika ratiba hiyo. Ukipata elimu uje utugawie na sie hapa JFNimepanga 2025 yawe hivi maisha yangu
1. Kutenga saa 1 kila siku kusoma Quran(saa 10:00 hadi saa 11 alfajiri )
2. Kutenga saa 1 usiku kumuomba Allah
3. Kitumia mchana ktk majukumu yangu ya kazi
4. Kutumia masaa 2 kwa siku kupata ilimu zaidi ya sayansi na Teknolojia na ya dini
Muda mchache kiasi cha dakika 15 -20 kwa siku kushiriki jf
Shukran
Aaaamin..inshallahAllah akuongoze katika ratiba hiyo. Ukipata elimu uje utugawie na sie hapa JF
Allah ameshindwa kuisaidia Gaza dhidi ya mkono wa Israel anayewatoa roho ndo aje kukusaidia wewe. Kuliko kufanya 1 na 2 huo muda tumia kufanya mazoezi ya mwili kuimarisha afya.Kwako, muda huo wewe uko baa huku watoto ukimwachia boda boda akutizamie
Allah hata wewe amekusaidia umeweza kuamka ukiwa na afya na ukaja kuandika utumbo huu jf badala ya kutumia muda wako kupumzikaAllah ameshindwa kuisaidia Gaza dhidi ya mkono wa Israel anayewatoa roho ndo aje kukusaidia wewe. Kuliko kufanya 1 na 2 huo muda tumia kufanya mazoezi ya mwili kuimarisha afya.
Anayenisaidia Mimi ni Mungu mwenye nguvu, Mungu wa miungu aliyekuwepo hata kabla ya Allah.Allah hata wewe amekusaidia umeweza kuamka ukiwa na afya na ukaja kuandika utumbo huu jf badala ya kutumia muda wako kupumzika
Nimepanga 2025 yawe hivi maisha yangu
1. Kutenga saa 1 kila siku kusoma Quran(saa 10:00 hadi saa 11 alfajiri )
2. Kutenga saa 1 usiku kumuomba Allah
3. Kitumia mchana ktk majukumu yangu ya kazi
4. Kutumia masaa 2 kwa siku kupata ilimu zaidi ya sayansi na Teknolojia na ya dini
Muda mchache kiasi cha dakika 15 -20 kwa siku kushiriki jf, kwa sababu matusi siku hizi yamekuwa mengi jf hasa kwa wasiokuwa waislam dhidj ya uislam na waislam badala ya kujenga hoja na kutoa hoja

Vita tena?Mapema tarehe 01/01 saa 1 asubuhi tunaanza mwaka kwa vita ya dini