Umejiandaaje kwa aibu itakayoletwa na Simba SC kwenye michuano ya Klabu Bingwa 2020/21?

Timu ipi ni Bora Kati ya [emoji881][emoji881]au[emoji196][emoji196] Katika michuano ya klabu bingwa ya Afrika?
 
simba asipopigwa goli 6-8 huko kwa waarabu nipigwe ban
 
Timu imeshaharibiwa hii.. Kuna watu wanaendelea kuinajisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…