Umejiandaaje na ugumu wa January?

Umejiandaaje na ugumu wa January?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
January au Njaanwary haipo mbali, Leo ni ijumaa ya mwisho wa mwaka 2024

We safiri, chezea pesa, kesha bar ila mgeni katili anakuja soon

1. Ada ya shule ni January
2.Kodi za frem January
3. Kodi ya TRA January
4. Mchepuko upo Moshi unahitaji nauli kurudi town
5. Bidhaa zinapanda bei January

Ongezea........
 
ngoja wakutane na huyu jamaa hapa hiyo January
20241227_184559.jpg
 
Mimi nina mshkaj wangu ni daktar katka hospital binafsi hivyo nikionaga mambo hayatembei January huaga naenda kujifanya nimezidiwa pale kwa jamaa yangu ananiandikia mixture dawa kumbe me mzima na ninalazwa kama wiki mbili hivi huku nyuma wife analipia kila kitu me hela yangu najifanya najiuguza kwaio hela zangu wife anajua zinaishia kujiuguza kumbe usiku natoka zangu na maisha yanaendelea swafi na January inakata kiwepesi nampoza hela ya bia mbili jamaa yangu mchezo unakua umeisha kwa stail hio
 
Vijana wa ovyo😅😀🤣
 
Back
Top Bottom