Ntaongea na mwalimu mkuu hana shida, ni muelewa๐คฃ๐ ๐
We kula ada ya watoto, ati unataka sifa huko Moshi
La mama Kuna mtu kaanzisha uzi eti umemzalia mapacha ,Nimelia Kama nguruwe japo machozi hayatoki .Kutishana tu.....
Hakikisha unaanza sasa hivi kumtumia msg za merry xmass na happy new year ili umuandae kisaikolojia๐๐๐๐Ntaongea na mwalimu mkuu hana shida, ni muelewa
January sio poa chai hazipikwi asubuhi, kunakuwa na depression๐คฃ๐ ๐
We kula ada ya watoto, ati unataka sifa huko Moshi
Vijana wa ovyo๐ ๐๐คฃMimi nina mshkaj wangu ni daktar katka hospital binafsi hivyo nikionaga mambo hayatembei January huaga naenda kujifanya nimezidiwa pale kwa jamaa yangu ananiandikia mixture dawa kumbe me mzima na ninalazwa kama wiki mbili hivi huku nyuma wife analipia kila kitu me hela yangu najifanya najiuguza kwaio hela zangu wife anajua zinaishia kujiuguza kumbe usiku natoka zangu na maisha yanaendelea swafi na January inakata kiwepesi nampoza hela ya bia mbili jamaa yangu mchezo unakua umeisha kwa stail hio
Kaka bila kufanya hivyo hutakuja kuiona hela ya wife wakat wote mnatoka asubuhi mnaenda maofisin at least nae ahangaike na ada kwa staili hioVijana wa ovyo๐ ๐๐คฃ