LGE2024 Umejiandikisha? Jambo gani kubwa umekumbana nalo likakushangaza?

LGE2024 Umejiandikisha? Jambo gani kubwa umekumbana nalo likakushangaza?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Makumbele

Member
Joined
May 9, 2009
Posts
77
Reaction score
431
Mimi:

Niliulizwa JINA, JINSIA na UMRI tu.

Sikuombwa details nyingine zozote zaidi ya hizo.

Hivi, tuko serious kweli?
 
Uliyoulizwa yanatosha ndiyo maana kuna mawakala wa vyama wanaopaswa kuwatambua wakazi wa mtaa husika.
 
😅😅😅😅😅 ila waandikishaji wanadhambi ,Kwa hyo kwakukuangalia tu hakitosha kujua ww n me au ke.

Au mwandikishaji kalewaaa mkuu
 
😅😅😅😅😅 ila waandikishaji wanadhambi ,Kwa hyo kwakukuangalia tu hakitosha kujua ww n me au ke.

Au mwandikishaji kalewaaa mkuu
Kama ni kweli,huyo mwandikishaji alijisahau tu.Katika maelekezo kabla ya zoezi huwa wanaelekezwa maswali ya msingi kuulizwa na mengine yatajazwa kulingana na kuona au mazingira.
 
Mimi:

Niliulizwa JINA, JINSIA na UMRI tu.

Sikuombwa details nyingine zozote zaidi ya hizo.

Hivi, tuko serious kweli?
Ulikuwa unataka uulizws maswali gani ili uone kuwa wako serious? Mkuu ile sio sensa ni uandikishaji wa serikali za mitaa kinachomata ni uwe mkazi wa eneo husika na uwe na umri wa miaka 18+ plus akili timamu. Na wewe ni miongoni mwa walio wengi ambao nadhan ndio mara yao ya kwanza kujiandikisha. Nakukumbusha ile haitaji hata uwe na kadi ha mpiga kura mzee. Au ulitaka uulizwe umeoa? Una watot wangapi?
N.b kuna maswali mengine hawaulizi kulingana na muonekano wako
Lakini pia ndio maana CCM wanaendelea kuwaburuza maana walio wengi hawajielewi na hawaelewi nini kinaendelea na serikali kwa maksudi kabsa hawajatoa elim kwa raia ipasavyo
 
Back
Top Bottom