Umejifunza nini hapa?

Huu uzi naiona vita ya mashabik wa njiti na robot

Kwahiyo messi ni sawa na ronaldo + zuber +dramgaard + pedri(wa3) + de brune + sterling

[emoji23] [emoji23] Utakuwa una utani na mashabiki wa ronaldo wewe..
Ronaldo alishaprove kwa mengi hatuhitaji ubishani tena na hawa mashabiki wa Andunje.
1 ana magoli mengi kuliko Messi
2. Amecheza ligi nyingi bora kuliko Messi.

3. Ana wafuasi wengi kuliko Messi.

4. Ana hela nyingi kuliko Messi.

5. Ana mademu wengi kuliko Messi.

6. Ana watoto wengi kuliko Messi.

7. Amecheza katika vilabu vinne vikubwa kuliko Messi.

8. Ana international trophies kwenye timu yake nyingi kuliko Messi.

9. Etc.

Kitu pekee andunje anamzidi Ronaldo ni Ballon d or na magoli ya Free kicks
 
Tumejifunza tu wewe ni Team Messi. Hakuna kitu kingine cha kujifunza zaidi ya hiki kwenye huu uzi wako.
 
mleta mada hajifahamu, unalinganishaje Copa America na Euro? Copa America ni sawa na Africa Cup tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…