Umejifunza nini kipya mkutano mkuu wa CCM Dodoma?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.

Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
 
Nothing special!
 
Ni mkusanyiko wa wahuni walioenda Dodoma kucheza muziki na kufanya yale ya chumbani hadharani.
1737285883591.png

1737285996382.png
 
Mzee wa yupo kuendelea kuwepo madarakani toka enzi za mwalimu pasipo kuwa na utendaji wowote kimadaraka na kimaamuzi bali uchawa kwa mtu
 
Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.

Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
Kikubwa ni kuchukua kadi na kujiunga nao 😅😜
 
Mfano kwa Chadema waangalie wameze matweee

Upinzani imeonyesha badoooo sana as CCM hakuna wapiga domo ovyo kwa vyombo vya habari kubwa zaidi hawatukanani wala kusemeana siri zao za undaniiiii

Though Chadema wao wanafanya drama nyingi kimpango.. ila wafuasi wao wanajua kweli kumbe kutafuta Kiki tu wawaburuze madozaz

Wana muheshimu Kiongozi wao
 
Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.

Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
Kipya ni kwamba mafisadi yamekutana na kutumia hovyo rasilimali za nchi ili hali nchi IPO taabani. Angalia yamekodi wasanii Hadi wengine kutoka Congo. Yamenunua magari. Ni mashetani tu wanaoweza kufanya hivyo. Angalia Rais wa Burkina Faso. Yupo kazini wala Hana mbwembwe kama hizi lakini kazi inamtambulisha na kumuweka karibu zaidi na wananchi. Hawa wa kwetu wana wanatumia Kodi zetu kununua watu na ushetani mwingi. Wakati huo huo Kuna zahanati au kituo Cha afya hakina dawa za kutibu watu waliong'atwa na nyoka. Halafu yapo serious kupiga makofi tu
 
Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.

Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
Hakuna jipya CCM, ni kuchagua waliokwisha kuteuliwa, ni kuwapa wazee wa miaka 80 nafasi wakati vijana wa mika 30-50 wakiachwa. Agenda za CCM zimedoda, ni mwendo wa kufuja kodi za maskini kununua mabasi 200. Habari inayovuma ni kati ya Mbowe na Lissu, hii ndiyo yenye mvuto na tija kwa umma.
 
Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.

Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
Nimejifunza Lissu ajiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom