Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nothing special!Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
Ni mkusanyiko wa wahuni walioenda Dodoma kucheza muziki na kufanya yale ya chumbani hadharani.
Kikubwa nilicho kiona ni machawa wameweza kulazimisha taratibu kukiukwaLabda uwe mjinga sana ndio utaweza kuwa na la kujifunza hapo positive. Ogopa kundu kubwa hivyo halitofautiani mawazo! Hiyo ni dalili ya kuwa ni kundi la majoga yamekwenda kupitisha matakwa ya walioko madarakani.
Kikubwa ni kuchukua kadi na kujiunga nao 😅😜Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
Jakaya...Kina wenyewe
Kipya ni kwamba mafisadi yamekutana na kutumia hovyo rasilimali za nchi ili hali nchi IPO taabani. Angalia yamekodi wasanii Hadi wengine kutoka Congo. Yamenunua magari. Ni mashetani tu wanaoweza kufanya hivyo. Angalia Rais wa Burkina Faso. Yupo kazini wala Hana mbwembwe kama hizi lakini kazi inamtambulisha na kumuweka karibu zaidi na wananchi. Hawa wa kwetu wana wanatumia Kodi zetu kununua watu na ushetani mwingi. Wakati huo huo Kuna zahanati au kituo Cha afya hakina dawa za kutibu watu waliong'atwa na nyoka. Halafu yapo serious kupiga makofi tuMkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
Hakuna jipya CCM, ni kuchagua waliokwisha kuteuliwa, ni kuwapa wazee wa miaka 80 nafasi wakati vijana wa mika 30-50 wakiachwa. Agenda za CCM zimedoda, ni mwendo wa kufuja kodi za maskini kununua mabasi 200. Habari inayovuma ni kati ya Mbowe na Lissu, hii ndiyo yenye mvuto na tija kwa umma.Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?
Makongoro anasemaje 🤣😆Mzee wa yupo kuendelea kuwepo madarakani toka enzi za mwalimu pasipo kuwa na utendaji wowote kimadaraka na kimaamuzi bali uchawa kwa mtu
Nimejifunza Lissu ajiandae kisaikolojia.Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?