Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi yetu?