Umejipangaje kuisherekea sikukuu pendwa ya valentine's day 2024

Umejipangaje kuisherekea sikukuu pendwa ya valentine's day 2024

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Waslaam wana JF

Kwa wale wazeee wa ma-lovey dovey dovey hii ni sikukuu pendwa sana kwenu

Binafsi, ninafikiria kwenda kusherekea na watoto yatima, nataka nitoe sadaka ya vitu mbali mbali kwa watoto yatima ili upendo wa Mungu uendelee kuwa nao

Asanteni
 
Wengine;
Screenshot_20240123-193159.jpg
 
Binafsi ntaenda mahali kula kitimoto changu saaaaaafi then nirudi home kulala
 
Back
Top Bottom