MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Safi kabisaBinafsi, ninafikiria kwenda kusherekea na watoto yatima, nataka nitoe sadaka ya vitu mbali mbali kwa watoto yatima ili upendo wa Mungu uendelee kuwa nao
Asanteni
Amen amenMungu akupe zaidi
Daaaah!Wengine tarehe hiyo ndiyo wanaanza mfungo wa kwaresima kati yao wengine wanapakwa majivu usoni kukumbushwa kuwa mwanadamu ni mavumbi na mavumbi atayarudia na wanaambiwa kufunga siku hiyo