Umejipangaje na mwezi wa 3?

Umejipangaje na mwezi wa 3?

Nomadix

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2,411
Reaction score
6,646
Mwezi wa Pili unaisha leo, wale mliozaliwa tarehe 29-02 endeleeni kusuburi mpaka 2028!

Wazee wa mwaka wa kuforce mipango ya kuitwa Boss imekaaje kwa mwezi wa 3?

Wale ambao LBL imewasaula msijisahaulishe mmejipangaje na nyie?

WanaSimba na wanaYanga derby ndio hio inakuja mmejipangaje?

Mambo ya kodi/umeme/ada/biashara na kazi umejipangaje kuyakamilisha mwezi wa 3?
 
Nimejipanga kushona vitenge vipya na nasubiri uncle wako aniletee mamilioni ya LBL nivimbe mtaani!
giphy-downsized.gif
 
Mwezi wa Pili unaisha leo, wale mliozaliwa tarehe 29-02 endeleeni kusuburi mpaka 2028!

Wazee wa mwaka wa kuforce mipango ya kuitwa Boss imekaaje kwa mwezi wa 3?

Wale ambao LBL imewasaula msijisahaulishe mmejipangaje na nyie?

WanaSimba na wanaYanga derby ndio hio inakuja mmejipangaje?

Mambo ya kodi/umeme/ada/biashara na kazi umejipangaje kuyakamilisha mwezi wa 3?
Aisee mwaka uko kasi sana. Yani tunaelekea robo mwaka sijafikisha hata robo ya fedha niliyopanga kukusanya mwaka huu.
 
Meditation & Workout Day 1
Reading 1 Chapter Day 1 | Boundaries
 
Nina pdf ya
Atomic Habits
-by James Clear
ikiwa highlighted key points na phrases.

Mwenye kuihitaji unaweza kutuma ujumbe PM "Nitumie" huu mwezi wa 3 ujifunze kitu kipya, naituma bure kabisa!
 
tena anasema tuma na ya kutolea [emoji1787]
Wajinga sana sijui wanaonaga pesa zetu huwa zinaokotwa tu kirahisi, ukitaka kujua hawa viumbe KE wanatupiga nenda viwanja siku kama ya leo uone wanaume wanavyokamuliwa bila huruma huku wao wakijipiga vifua wanajiona wamba kumbe wanatumika
 
ubaya zaidi hawana cha kutupa sisi zaidi ya mbususu, presha na stress wengine wanaamua kutupa na S.T.Is na U.T.I doh
🙁 🙁 🙁

Ila tutafanyaje sasa na mbususu zilivyo tamu.
 
Back
Top Bottom