Umeshawahi kujiuliza kuna kipindi mwanaume anafanya mambo ya wale wamam wakiwa na mimba mara atemeteme mate ovyo,,awe na hasira kwa mke wake hapo mke hana mimba..na mengineyo nahisi hili laweza kuwa ni tattizo ila wataalamu mutjuze jamani maana wengine wakimeza wanakuwa wakali kama wanatunguli tumboni