Mi nahisi nina tatizo na hili Jambo,siwezi kuangalia namba Mara mbili nisiikariri.nina karibu 75% ya phonebook yangu kichwani.mara nyingi huwa naona shida kutafuta namba so huwa naiandika nikitaka kupiga Kisha jina linatokea.
Nimesema hili ni tatizo kwani kuna viumbe wengine sipaswi kuwasiliana nao,najitahidi kujizuia kwa sababu namba zipo kichwani ingawa nilishazifuta kwa simu.ningekuwa sijazikariri nisingepata tabu sasa.